Kenya's No 1 GhettoRadio

Series ime actiwa Kanairo ina trend kwa wachinku

0 1,344

Series ya kichinku ime produciwa Kanairo, ina trend China hadi makampu za kuproduce ma film za China wanatamani kumuok ku fanya maprojects zao Kenya.

Hio series ni ya action kuruka na inaitwa ‘Hunting’, ime actiwa kwa wanyoso, ukikemba tifi utaona leafy suburbs.

Kuna mkenya ana act hapo, Derrick Assetto, na bado ni stuntman.

Anadai Hunting ime get views zaidi ya mita two chweza China.

Anadai hio series ni mboka kwa design, juu ma productions companies sasa ni mugatha na wanataka kumuok ku do ma movies kanairo.

Derro ashawahi act kwa movie inaitwa Equator 2005, na 2006 ali represent Kenya kwa Survivor Africa. 

Movies zingine zenye wasee wanamnauwo ni kama movie ya ki Italiano inaitwa La Talpa , series ya Netflix inaitwa Sense 8 na Mourn Amor. 

Hunting ili actiwa Ngong rd na Kona Baridi yenye iko Kajiado county, na iko na episodes 44.

Maziwa ili tumika kwa hio project inachezea zaidi ya mita oss.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More