Kenya's No 1 GhettoRadio

Sheng Has Changed The Lives Of Many Youths – OPINION

0 2,036

Nili anza ku dikod sheng news miaka kama ngovu zime pita na ma beshte zangu wakaribu wali kemba ni kama nime fiatu,coz wali kuwa used ku sikiza ma news za ngoso na swaa ama lugha za ma mothama kiocha.

Reason bigi yangu yak u promote sheng kama culture official,ni ku make sure zime vitu ma ariradem hukemba ama ku blanda huku mtaani zili kuwa zime zidi,especially ngori za crime,upoko na wasee wana tumia madree.

Sheng iko na mistari zina eza ma wasee wana dai ku change wa feel confident coz haina mezesha mob na ni rahisi ku peana ma reality bila ku katisiana na ma beshte.

Nime kuwa niki try ku reach Orrezo Uhunye wa Jomo thru FB.katika hali yaku bring attention kwa stori za crime na vile ma yut wana manyuria kwa sababu za udingo ama pia wale ma morio wana odolewa vii innocent na ma beast(karao) wale trigger happy,Kitu ina fanya ni take ku meet Uhunye wa Onyatto ni vile watoi wana baki ma orphans kabla ku zaliwa na pia madem wana baki ma widower ma teenager kwanzia miaka mbotin hii ni real uki kemba ma mtaa kamaa kayole,dando,githu,ogwaro,kije,kibera,dago…..na ma mtaa zinge mob sana,akuna mtaa haina kitabu ya mangata za vijana.

Na mavija na wa advice wacheza ndogo,kula sweat lako na ukumbuke heri umek it late in life ratherthan tuku ite the late flani,na pia kumbuka kama una sanya ndio umalize usoti,basi wewe ndio una pigia umaskini debe,saree udingo heri mujaribu ku join ma movement za revolution hiyo tu ndio alternative yak u bit ma politician wale hawa jail kuhusu mavijana.

Finally na dai ku sema shukruani sana kwa wazito wote,ma shattarezz na ma arriradem kwa ku stay true na kuni support kwa ghetto radio official sheng newz,kumbukeni sheng ni culture positive na ina faa ku bring change kwa life yako,usi tumie sheng ku chapia wasee ama kubeba wasee mafala,ujanja ya sheng ni kukumake u feel wewe pia ni mkenya na ujue ma rights zako kwa katiba,infact constitution already iko na sheng version kutoka stenje yako ya power ghetto radio.

AUTHOR: EDGAR OGUTU

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More