Kuna shosh mpandre mwenye ni 70 years huko India ana trend after kubony mniaju.
Jivunben Rabari ni celeb sasa after kukuwa the oldest first-time mother in the world juu yeye na mzae wa kwake mwenye ana miaka 75, Maldhari, wame blessiwa na son wao wa fao.
Kulingana na hao mbexe wenye wanastay village inaitwa Gujurat, dumbo ilishikwa via IVF, ama ukipenda test tube baby.
Huyo shosh anadai hana ID, lakini ananauwo miaka zake, kumanisha yeye ndio mokoro amezaa akiwa the oldest kwa dunia.
READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/morio-amedunda-kutoka-third-floor-akihepa-masanse/
Yeye na mzae wa kwake wame marika for 45 years, wamejaribu sana kuget mtoi lakini wapi.
Msee aliwapeleka na riang ya IVF yenye nguna anaweza jazwa hata after menopause.
By Nicanory Muhando
VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=417MSp7nBwg