Take a fresh look at your lifestyle.
Kenya’s Number One GhettoRadio

Spiderman amebambwa akidingo

0 437

Kuna dingo amebandikwa ‘Spiderman’, yeye huchezea Kilimani na Kilee, amebambwa.

Kennedy Otieno Oyier aka Spiderman 3 amekua akipanda ma ukuta za madangulo kwa hizo esto na kupita na maweng na maogoro, lakini jana magizani ndio alibambwa.

Oyier ni kibronje wa John Otieno Oyier aka Spider Man 2, na after kubambwa aliwapeleka mtaani ungwaro penye mambaru walirecover ma lappy kadhaa.

‘Spiderman 2’ ako nditni Indaa after kubambwa on January.

Spiderman 3 amebambwa after wasee hio mtaa za kinyoso kuzusha

- Advertisement -

Anadai aliget inspiration kutoka kwa movie alikemba online.

Anadai yeye hupiga koto na crowbar na master keys.

Ati sana sana yeye hudingo penye hakuna ma CCTV, na ni ngware.

Nairobi police boss Augustine Nthumbi amesho mraia wenye wamelost mali yao kutokelezea njiste Kilimani.

Bado wanasakanya madingo kibao hio mtaa

Comments
Loading...