Take a fresh look at your lifestyle.
Kenya’s Number One GhettoRadio

Stenje imetingwa after Mambang’a kuwai rona

0 922

Kuna njiste Kirinyaga County imebidi imetingwa juu mambang’a wote wamewai rona.

Gathoge Police Post itabaki imetingwa masiku das juu ya hio sitiation.

- Advertisement -

Kanjo ya hio area code wame fumigate hio post mzima.

Sasa services zote zina require hao mambaru zimeskumwa hadi stenje iko Kutus.

Hio kesi inamuok after mtu 745 ku test positive na covid 19, positivity rate ikichezea 12%.

Comments
Loading...