Kenya's No 1 GhettoRadio

Stude amefikishwa mbwenya juu ya kusneak kwa chuo na tear gas

Stude wa St Charles Lwanga secondary yenye iko Changamwe, Mombasa, ame plead guilty ati ali sneak in kurudi chuo na tear gas canister.

Alifikishwa mbele ya jajiko Mombasa Principal Magistrate Vincent Adet, na akachapia kotiko ange penda kugeuza plea yake, masiku kadhaa after alikua amekwara charges kwa mbwenya different.

Charges ilidai ati on June 3, akiwa hio seco iko Changamwe sub-county, Mombasa county, alipatikana in possession ya teargas canister jamo ya mambaru, na haijajulikana aliitoa wapi.

READ ALSO; Machokosh Wanafeel Economy Hadi Wanamanga Wagido

Aliwekewa second count ya reckless and negligent act causing harm contrary to section 243(c)of the penal code.

Ati alikua anacheza na hio tear gas na ku endeanger lives za masude wengine.

Maboys nnei wa Form Four walikuwa injured after hio tear gas canister ku explode.

Comments
Loading...