Kenya's No 1 GhettoRadio

Stude mwingine amebambwa akitry kumnyuria mode wake

0 256

Kuna stude mwingine wa kidato amebambwa Nyamira County after alitry kumnyuria depa wa seco yao na machete leo morning.

Hio ngori ili happen Mokwerero Secondary yenye iko Kitutu Masaba Constituency.

Alibambwa kwa school compound na mamode akiwa amejipin hio tick ndani ya toja, na fiile ya kui sharpen.

Kulingana na ripoti ya mambaru, huyo yut ako Form 2 na ni 18 years, alikua anaishia kwa offe ya depa, Jared Morara, plan yake ikiwa kumnyuria huyo mode.

Ilibidi huyo mode amepiga nduru ndio staff room mzima wakamuok through kumrescue.

Mdihe wa hio chuo, Kennedy Ogecha, amedai mambaru wamembamba na washaanza investigations.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More