Kenya's No 1 GhettoRadio

Suluhu Amechapia Mambaru Wana Utambi TZ Kurudi Training

Orezo wa TZ, Samia Suluhu, ame order mambaru wote wana kitambi kurudi training ndio wapunguze weight.

Suluhu amedai ati ndio masanse wakue efficient wakiwa works, wanafaa kuwa na ma six packs, sio matumbo design ya Rick ross.

Alikua anabanja after completion ya training ya makrutu Boma Kichaka Miba, iko Tanga.

Anadai aki inspect parade alinotice wenye walikua wanaongoza na lembe walikua na matumbo bwaku.

Alitaka warudi zido ndio wapunguze weight wakue fit design wanaweza pelekana unywea na dingo.

Suluhu ndio ali take over kama orezo wa TZ after John Pombe Magufuli kubugda last year March.

Comments
Loading...