Boy wa kidato ameganda after kukutwa akichai (Video)
Kuna vida ina trend ya boy wa kidato Form 2 Kamiti secondary amekutwa beating moja safi after kupatwa akichai tenje ma area za Kahawa West.
Anadai ako na mbogi ya maboys utat, johhny na teddy,na huwa wanazindonyo kwa first body ako form…