Joho ame donate ma masks hadi kwa masanse
Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ame donate face masks kibao kwa manjege lakini sio ati wazitumie, wahelp kustopisha rona kuspread Coast.
Alimpea Inspector General Hilary Mutyambai jana, na akadai mambaru wanafaa kuzigawa kwa wasee hawana…