Jamaa kwa kotiko anadai sio yeye thegi, ni twin kibronje
Kuna mjango alikwara charges za robbery with violence akidai ni twin bro wake alimseti na ameenda missing juu ya hio nomaree. Jared Angachi Omusinde alichargiwa na kumpiga tisa Robert Mwangi na kumnyafura tenje ya kama miti das, yenye…