Kisii mayut wamebambwa kwa ng’ang’u wakipigana miti
kuna mateeny 38 village inaitwa Kemboa, Kisii County, walibambwa wakitei na ng’ang’u na saa hizo wananyanduana kombi.
Maboyz walikuwa 34 na mayengs walikuwa wanne pekee.
Mambaru wanadai hao suspects wote wako kati ya 14 years hadi…