Morio amebambwa akimanga nyama mbichi ya hyena
Kuna fathela mwenye ni 40 years mtaa inaitwa Kombewa yenye iko Othumo, imebidi amehepa village yao after alikutwa red handed akidimbua fisi .
Huyo morio alipatwa akidimbua hio hyena imenyuria, hata hakuichoma kiasi, ni kuirarua bila…