Karau amebambwa akimochoa magithaa ya curfew
Kuna karau alibambwa akitoa lock ndani ya baessa magithaa ya curfew area code inaitwa Sega, Siaya county
Inspector Hussein Abdulahi sanse alifaa kuwa duty aki enforce curfew but instead aliona amochoe, na ndio maana alibambwa akiwa na…