Kenya's No 1 GhettoRadio

‘This is the life I built for myself’ Zari Hassan calls out online critics

0

Socialite and Business woman Zari Hassan has gone ham on all her social media critics.

In a post shared online, Zari told off her critics to stop questioning her life.

She said it took her time to build what she has today and she is enjoying it so those claiming her life is fake, should think again.

She added that she takes pictures in her office because that is where she works, and she cannot go take pictures at a hospital or a market selling tomatoes.

Zari went on to advice her followers to use their 24 hours wisely because everyone has the same time frame.

“Kwa sababu maisha ya watu wengine hayapo kama yakwako haimaanishi wanaishi kwa kujionyesha au haimaanishi kuwa sio maisha yao halisi.

Napiga picha ofisini kwangu sababu ndio eneo ambalo nafanyia kazi, siwezi piga picha sokoni nauza nyanya au kwenye korido za hospitali nijifanye ni daktari wakati sio. Napiga picha nyumbani kwangu sababu ndio sehemu ninayoishi, siwezi kujivunia kwenye hoteli au kwa kupiga picha kwenye nyumba ambayo haina muonekano mzuri kwa lengo la kukuridhisha wewe ambae unaishi kwenye nyumba hizo. Haya ni maisha yangu, aina ya maisha ambayo nimeyajenga mwenyewe na familia. Siwezi endesha baisikeli ili kukuridhisha wewe, hapana itakuwa ni kujidanganya.

Nitaendesha gari ambalo nimenunua kwaajili ya kwenda nalo kazini au mahali pengine. Kuna watu wanamiliki ndege binafsi, ni aina ya maisha yao waliyo jitengenezea. Mimi ni nani niwahukumu eti kwa sababu tu usafiri wao ni ndege binafsi, au first class.

Sio kwamba ni maisha feki au kujionyesha, Bali ni style ya maisha ambayo nimeyapambania na nimeyapata sio kirahisi, bali ni kwa muda mrefu kidogo.Sisi sote tuna masaa 24 katika siku. Tumia muda wako kwa vizuri, She said

Comments
Loading...