Kenya's No 1 GhettoRadio

TWITTER WAMEKUBALISHA BIZ YA KUNDONYO NGUAI

97

Twitter on Weno walikua the first social media platform ku allow makampu za nguai ku market brands na products zao US.

Tenee walikuwa wamekubali tu hemp-derived CBD topical products, lakini social media platforms zingine kama Facebook, Instagram na TikTok wako na “no cannabis advertising policy” juu ngwelo bado ni illegal kwa federal level.

Lakini states kibao US wameanza kukubali kundonyo mambichwa, states 21 already wako on board.

Twitter wamedai watakubali hizo makampu kundonyo nguai bora wako na proper license, wa pass through approval process yao na za states wamekubaliwa kundonyo, alafu wasi target wasee wako chini ya 21 years.

Makampu kibao wame big up hio move, kama multistate cannabis and medical marijuana company Cresco Labs said.

Zingine ni kama Trulieve Cannabis Corp wenye washaanza kuchapa biz.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More