Kenya's No 1 GhettoRadio

Wajackoyah anashow ma priests wasaree uwaganis

Roots Party Presidential candidate George Wajackoyah amewapasha mapassy wenye anadai ni warazi design wanatry kushow supporters wake wasimvotie.

Anadai kwanza hao ndio mabunny, design wametimbua baroda imemangwa kutoka kwa public funds.

Prof Wajackoyah, mwenye ana trend juu amedai ata legalise gunga, alisanukiwa na mapriests kadhaa, na sasa juu ya hio riba anashow mbogi yake wasaree kuishia church.

Alikua anabanja akiwa njei ya Kenya Wildlife Service Headquarters, penye alikua akanjwe license ya snake farming.

‘Ganja president’ anadai mambwakala wa church wana uwaganis na hata hawajakemba manifesto yake vile ni bien.

READ ALSO; Mnetty Alireleasiwa Nditni Amemnyuria Mokoro

Aliwapea maneno akidai instead waone vile wata help mayut kuget wera, badala ya kuchukua maziwa kutoka kwa mabazu corrupt.

Alidai hana beef na Catho, ni vile kuna ma priests kadhaa wana utiriri.

Sunday kuna ma priests walidai Wajackoyah ana mislead mayut na manifesto yake, na ati kulegalise nguai ni blunder kwa nation.

Comments
Loading...