Kenya's No 1 GhettoRadio

Wakenya wameng’orea IMF

0 230

By Nicanory Muhando

Wasee wamebonda na kujiwachilia online kuanzia weekend wakimsanukia prezda vile anaotea baroda ya International Monetary Fund yaani (IMF).

Wanadai gava ya Jubilee kwanza itupeleke na mtaratara loans za bafo vile walispend.

Inasemekana IMF washa sign loan ya 257 billion kukanja Kenya.

Wasee kwa social media wame jaa gas juu ni kama IMF wako mboka na mabazu kadhaa.

Sasa wasee wameanza kuchachisha wakidai IMF wacancell hio maziwa isimuok through.

By the end of November last year, deni ya Kenya ilikua 7.2 trillion, na design kunaenda, ni kama by Dec tutakua na deni ya Sh8.7 trillion

Wasee wanang’orea hawa walami juu ni kama wanajinyce corruption ikijipa.

Kuanzia March last year hadi November last year, Kenya ilikua ishaingiza deni ya 971 billion.

Hio ni kama 121 billion kwa mwezi jamo.

Juu ya hio ngori wasee wanaskuma ma hashtag kama #StopGivingKenyaLoans #IMFStopLoaningKenya

Na hadi kuna petition wasee wana sign kukazia hio monyo isimuok

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More