Kenya's No 1 GhettoRadio

Wamepiga koto keja ya jajiko Embu

Manjege Embu wana investigate design madingo walipiga koto dangulo ya Jajiko wa Embu na wakasanya mali ya zaidi ya tenga oss.

Bungalow ni ya Magistrate Henry Nyakwemba, na ilipigwa koto last weekend akiwa away.

Huyo jajiko anadai alikua amemuok Kanairo kutemebelea family yake na ndio akachapiwa ati on Sato wamesafisha keja.

Ati ni mboch anastay kwa S.Q ndio alimpeleka na riang na ndio pia aliripoti kwa njiste.

Walisanya njifri, mbulu, water dispenser na home theatre.

Huyo jajiko anadai kesi za mabazenga wa gava makeja zao kupigwa koto zimezidi hio area code.

Anadai kalianza kuchiek after kazi mtaani kuzimwa.

Ame adisia mambaru walifika scene na mawagido wa C9 unit.

Embu West Sub-county Police Commander Julius Kyumbule ame confirm hio riba na anadai hajabamba msee bado, but wana investigate.

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...