At least 65% ya wasee wanadai Kenya penye inaenda ni ku ndialala.
Hio ni kulingana na research ilifanywa na Infotrak Research and Consulting firm on March this year, wali sample mtu thao jamo kutoka counties salasa.
Findings zili releasiwa jana, na zinasho 48% ya wasee wanataka gava iaddress state of the economy teke.
CEO wa hio kampu, Angela Ambitho, alidai High Cost of Living na unemployment zilikua ndio key issues wasee wanataka gava imonchoke na kabanja na wasee.
Hio poll ilishow 77% ya wasee wame affectiwa na pandemic, hadi wasee wenye walipoteza wera zao.
Kati ya wakenya utat out of wasee ngovo walidai rona ime wa affect personally kuanzia health hadi financially.
Wasee wenye wame affectiwa na high cost of living wanadai gava once ilitoa tax relief measures ndio kalichiek kuruka.
Wenye wana support curfew ni North-Eastern region na 75%, Rift Valley na 69% na Coast 67% lakini Kanairo ni 51% pekee wana isupport.