Kenya's No 1 GhettoRadio

Wasee mita 3.2 wako kwa CRB

0 468

Mbuner ya wasee wame listiwa kwa Credit Reference Bureaus, yaani, CRB, imefika mita 3.2, kutoka mita 2.7 last year.

Hio listing ina maanisha kuna 12% rise kwa non-performing loans

Last years kwa wale 2.7 million walilistiwa kwa CRB, zaidi ya wasee kappa soo nne wame blacklistiwa juu walishindwa kulipa ma loans kuanzia gil kurudi chini

Alafu ati 16.6 % wamezoea kuomba loan ndio wakanje loan ingine.

Wasee huomba ma loans tupyenga kwa ma app, ina semekana hujipata mbaya wakilipa kuliko vile waliomba loan.

Kulingana na data ya Central Bank of Kenya, wasee kibao wenye wako kwa CRB ni wenye wameomba kwa mobile loan apps.

Last month Uunye ali direct ati wakenya wenye wameshindwa kulipa loans on time by April 1st, wasi listiwe kwa CRB

LAKINI HIO DIRECTIVE HAIJA OKOLEA wasee mita utat wenye wame listiwa kwa CRB.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More