Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Wasee sasa wamebonda na Vipindi za Embarambara

0

Wiki mbexe hazijaisha since CEO wa KFCB Ezekiel Mutua alimpasha Embarambara asare vela zinamchocha isio design, huyo msanii kutoka Kisii amechachisha tena.

Embarambara ali drop ngomma on Monday, na kwa hio vida ametoka kehuti hadi kwa southern bypass karibu abondwe na senke iko teke.

Hio ngoma ame feature msanii anaitwa Ongengo, na kwa hio vida wanakimbizana ni kama zimewararu, hadi kwa vichaka, na hapo embarambara anasho vile ananauwo gymnastics.

On April 15, Mutua alimwarn Embarambamba hio style yake itamgeukia ngori.

- Advertisement -

Mutua hadi ali advise ma upcoming wasaree kutry sana kutrend isio design.

Embarambamba jina zake real ni Christopher Nyangwara na amemonchoka hadi Kenya imemnauwo.

Kwa ngoma zake yeye ni kung’ada na kupanda chenye iko mbele yake, iwe mti ama ngombe.

Hii ngoma mpya wasee wamebonda juu karibu acause accident.

Comments
Loading...