Wasee Gichugu Constituency yenye iko Kirinyaga County walishangaa sana after kukemba familia ya mtu nane kuanza kuimba na nguvu juu ya dumba
Mthama wao, Susan Wangari, anadai wajuniour wake, kati ya 12 years hadi miaka salasa, walianza kuimba mawimbo after kudimbua nduma walikuwa wamesanya
Hio familia ni wagithomo, na inasemekana mjamo aliseti turban yake nare after ziliwararu
Ni neighbour wao, Bundi Muthike, alirealise design kumechiek after kuwakemba wakiimba kwa mvua njei ya home yao
Design walikuwa wamefyat ilishangaza sana, mokoro wao kuwauliza which fom which vako, walianza kumganda
Walimkuta beating seious, ni maneighbour walimuok na kumkimbiza Kerugoya hosi penye ame admitiwa.
Hio ngori isha ripotiwa stenje iko Difathas.
Ilibidi wametingwa na Kamba ndio wabebwe kwa pick up
Mbexe walitoka kihuti, hao wengine wako saa hii hosi