Kenya's No 1 GhettoRadio

Wenye nduthi zao zilidandiwa wanashoiwa waziende kwa mastenje

0

Mambanga wanaomba wasee wa manduthi wenye zao zilidandiwa kwa mastenje waende wazipick.

Nairobi Traffic boss Joshua Omukata anataka wale wenye wako na ngori kama petty and minor offenses kufika mastenje penye nduthi zao ziko wazichuke.

Alidai zitawachiliwa sare, hakuna kukanja any.

Ma nduthi zime mokre mastenje kanairo.

Lakini ana warn wasijipate kwa crime juu wako rada yao.

Wale wa minor accidents na ngori za insurance na licence ndio wanaweza endea nduthi zao.

Mambanga wameanza kusafisha mastenje juu kibao zime beat, na inasemekana manduthi ndio zinachoma mboto.

Lakini kesi za wasee kunyafuriwa mtaani na wasee wako kwa nduthi pia imezidi.

 

 

 

 

Comments
Loading...