Kenya's No 1 GhettoRadio

Word yangu ya peace kwa Wakenya

Word yangu ya peace kwa Wakenya

0

Kwanza na dai kuwa bigop tena sana kwa ile love ume show kwa country yetu kenya hii period ya hizi ma election zina endelea.

Ma yut wame kuwa waki beba ngori za ma politician after uchaguzi ku manyuria but dis time ma yut wa nai wame proof dat politician hawata kutumia kuleta ngori,hata hii time wanaa siasa wana shika nare ina faa tuwakulie vako,coz after all ni hao wana tafta job but wewe uta rudi ku sota mtaani.

Na elewa kuna vile kila muthii yule ame tokelezea ku vote ame kuwa na ma expectation zakikwake but pia kuto ku get target yako pia ina faa ku reflect hio side ingine ku avoid kukatisika na ma outcome zozote.

Manze ma yut wenzangu kenya iko labour ni kama muthama ana wait ku bive birth na hakuna matha hujua ata za muniaju ana kaa aje,but kila matha hu taka mtoi wake azaliwe kwa enviroment ya amani hata ndio a grow na justice haijalishi ako vipi.

Tuwache politician acheze ligi yake,aki cheza ndogo hio ni blander yake sio wewe na aki cheza ki fadhela pia hio ni shauri yake.

Kama mraia zile vitu zinaeza fanya tujae ngori ziko kwa article 43 ya katiba 2010,i wish tunge kuwa tuna leta ngori juu ya ma docte na ma nurse ku strike na ile sufferation wakenya wana go through.na hope uta cheki sense kwa hii note fupi na kuandikia wewe katika hali ya kukumake ureflect kuhusu role yako kama mkenya na pia ujiulize kama ume fulfill purpose ya creation kama vile uli pokea nangos kutoka kwa higher calling “Most High”

Ndamalizia nikikudikodia swali kwako,zile siku ume enda kusaka wax na ume kosa,kuna politician yeyote ashawai ku demostratia ako funga rodi juu ume kosa wera,how comes una toa noma politician aki kosa job kwa voting?

Ju ulize ni nini ume fanyia kenya kabla ulize kenya ita kufanyia nini,

Edgar Ogutu.

Sheng newz writter.

 

 

 

Comments
Loading...