Kenya's No 1 GhettoRadio

Yut alimuita ngeus nanga amechargiwa kwa kotiko

0

Kuna yutman mwenye zi 27 years jana ali sentenciwa miezi sita zangaro ama akanje fine ya miti ngovo juu ya kumtusi neighbor wake village inaitwa Kithungururu yenye iko Embu.

Akiwa mbele ya judgiko wa mbwenya ya Embu Jean Ndengeri, Joshua Njiru Njeru ali plead guilty yenyewe alimuita neighbor wake rasa.

Inasemekana on 24th Feb ma aftee, huyo yutman alikuwa anachachisha kwa hio mtaa yao, saa hizo akitisha kumganda Lucy Wanjovi Gachingi.

Lucy alikuwa anarudisha chuma alikuwa amemuomba, but haijulikani mbona Joshu alibonda juu ya hio chuma, na ndio akaanza kumpea maneno

Lucy alienda kuripoti kwa stenje Manyatta na ndio mambanga wakambamba Joshu.

Joshu kwa kotiko akijitetea alidai hio day zilikuwa zime renga, na ati ana regret vile alichoma mboto.

Alimuomba judgiko asimfinye sana akipeana judgement.

 

Comments
Loading...