Kenya's No 1 GhettoRadio

Yut amebambwa after kumgonga kibronje na dimanga

0 382

Kuna yutman wa form 3 mwenye ni 19 years, mwenye alimgonga bro wake mbiggy na dimanga hadi kuvunja jaw yake, anategea ku sentenciwa after ali plead guilty.

Buke Juma alikubali alimganda Salu Galgalo on July 24 mtaani Huruma.

Bro wake mbiggy alikuwa amechill njei kwa veranda, Juma akamuok na kidimanga na kumgonga kwa jaw alafu akang’ada.

Alisare tenje yake akitoka unywea na ni witness aliokota.

Bro wake saa hizo alikimbizwa hosi.

Cha kushangaza, bro wake, Galgalo, alikuwa bado kwa kotiko na kesi ya kudefile kapyenga.

Alisho judgiko Abdul Lorot wa mbwenya ya kibich, hawezi msamehe kibronje, heri aende adoze zangaro.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More