Kenya's No 1 GhettoRadio

Yut amechomwa na panga moto juu ya kusanya miwa

0

Kuna yut ako hosi mbaya sana South Mugirango, Kisii County, after kuchomwa na machete juu alipatwa akisanya miwa.

David Ogega alibambwa akikata miwa sato na maze anaitwa Nyandoro Sagwe, na akamfungia kwa mti na kumchoma na machete alikuwa ameweka kwa nare kwa miguu zake na akamwachilia

Area Assistant Chief Protas Ombiro alichapiwa hio mambo jana after huyo boy condition kuzidi kuwa ngori.

Chief chenye alido ni kumlazimisha huyo maze kumpeleka hosi Tabaka Mission Hospital.

Mapero huyo yut sasa wanasakanya justce juu huyo mzae hakukanja bill

Wasee hio area code wamebonda juu mzae alimchoma yut tuu juu ya kusanya miwa.

 

Comments
Loading...