Kuna yut amedunga jersey ya Arsenali ame fainiwa kwa mbwenya juu ya ku break rules za rona.
Justus Musila alifikishwa mbele ya kotiko na maarif wake Kibera jana na walichargiwa makosa ikiwa hawakudunga mask vibien.
Fine ilikua punch kila mjamo.
Alitrend kwa social media wasee wakidai labda ni hio jersey ndio swara.
Wengine wali accusiwa walipanda mat iko chuma, hao fine ilikua kati ya miti jamo hadi utat, ukikosa ni kudoze nditni miezi utat.
ALSO READ; https://ghettoradio.co.ke/priest-wa-catho-amewapiga-mboko-madingo/
Walibamwba route ya Langata na Waiyaki Way.
Wengine wenye walibambwa, walikua kwa rotejo wamemokre, hakuna social distance.
WATCH; https://www.youtube.com/watch?v=II-eobBgU3w