Kenya's No 1 GhettoRadio

Yut amekimbizwa hosi juu amekata mjulus yake

Kuna yut mwenye ni 24 years ana treatiwa kwa hosi Bomet County after alikata mjulus yake.

Linus Kiplangat Rono alikata mjulubeng na mabengo alafu akazitupa.

Onjivo wa Kiplabotwo, Geoffrey Korir anadai alimwaga dibla ka mfereji, ni familia yake walimkimbiza hosi.

Ati mokoro wake ndio alimlola aki limp, kumuuliza, jamaa akamsho amechoka na engine yake.

READ ALSO; Kotiko Imedai Uni Kumjenga Peng Ting Miti Basa Juu Walitumia Mboto Yake

Mutaratara ni ati huyo yut huwa madree kuruka, so nikama ziliwachilia zikamsho azitoe.

Onjivo anadai wamebanja na Nyumba Kumi wawahelp ku sensitize mayut huko juu wana abuse madree Sanaa.

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...