Kenya's No 1 GhettoRadio

Yut ameseti keja ya mokoro nare juu ya keroma

0 1,139

Kuna yut mtaa ya Dee amefikishwa mbwenya after alibambwa akiseti warena keja ya mokoro wake yenye ina cost zaidi ya mita, tu juu ya keroma.

Inasemekana on 6th this month, Joseph Njuguna alirudi mtaani akiwa bablas na akadaisha food, but instead akapata ndio mokoro ameanza kuiunda.

Hi ilimjamisha kwanza vile aliambiwa akuwe mpole akadoze kwa room yake supper iki vai.

Baaden alirudi sitting room na kumsanukia mokoro.

Mathe kidogo kidogo akagundua moshi inajaa kwa keja, akatry kung’ada but doe yut aliingafu na njei.

Uzuri maneighbour walimuok akipiga nduru wakamtingulia.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/doky-wa-kamote-amebonda-juu-maconmen-wanampea-compee/

Hio nare ilichoma kila kitu.

Yut alienda mitini but akabambwa kwa zabe ya chwenga.

Aliganda na mob, ni mokoro wake alimsave.

Akifikishwa mbwenya, ali slappiwa na bondiko ya nusu mita na wataendelea kukesi on November 22nd.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=417MSp7nBwg&t=1s

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More