Kenya's No 1 GhettoRadio

Yut ameumwa kwa mabengo na python ndani ya toile

0

By Nic Muhando

Kuna yutman Thailand aliumwa na nyoka kwa mabengo akiwa ana kata weight ndani ya toile.

Siraphop Masukarat alikuwa kwa toilet seat akidieo saa hizo ana chat na mshi wake kwa tenje, kidogo kidogo akaskia ameumwa kwa mjulubengs na mabengo.

Hio cinemaree ili happen jana, na huyo yut anadai akikemba ni nini imemuuma, akapatana na ki python kinamochoka kutoka kwa shimo ya toile.

Dibla ili overflow ndani ya toile saa hizo sianga bado inatoka.

Huyo yut ni 18 years, alikimbizwa hosi na madoky wakamshona na stitches utat.

Hio wound bado ili treatiwa na antibiotic wash kunyuria tu bacteria za python incase kulikua na poison.

Baaden mthama wake ndio aliita gova wenye walideal na hio nyoka.

Saa hii wanadai wanagwaya toile yao, heri msee aende ajiwachilie njei kwa kichaka.

 

 

Comments
Loading...