Kenya's No 1 GhettoRadio

Yutman alibambwa na nguai na heroine amefikishwa kotiko

0 799

Kuna yutman leo alifikishwa kwa kotiko Nyeri na kuchargiwa na possession of heroin na marijuana zenye street value ya kappa soo nne.

Mambaru walimdescribe Peter Gatimu Ngure kama peddy hatare, na aka chargiwa mbele ya judgiko Faith Muguongo.

Mbwenya ili chapiwa vile on MARCH 5TH huyo morio alibambwa na sachet oss za unga zenye street value ya miti soo nne.

Second count ali face ni possession ya gode 5 grams na street value ya punch, na ya tatu ni kuwa na paper za rizla za kurollia nguai.

Alikwara hizo charges mbele ya judgiko na aka releasiwa na bond ya mote punch na kesi itaskizwa March 19th.

Ali arrestiwa after ma snitch kumseti kwa mambanga akiwa works.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More