Kenya's No 1 GhettoRadio

Yutman amebambwa juu ya kuomba wera

0

Mambaru jana walimbamba yutman alicause scene njei ya Nation centre Kimathi Street, na ni juu alikuwa anaomba wera.

Ali accusiwa na ku cause public disturbance juu alikuwa ana shout wasee wamjenge works.

Pia walidai alikuwa ana harass wasee.

Mambanga utat wenye walikuwa patrol ndio walimnyanyua hadi stenje.

After kuwekwa machengerere mboto za vile alidragiwa zilianza kukuwa shared online na kufanya wasee kwa social media kubonda juu sufferer amebambwa juu ya kusakanya wera.

Jana, CS wa Treasury Ukuru Yattani, alidai ati Zaidi ya wakenya 60% wamepoteza job since rona kumwok March.

Comments
Loading...