Kenya's No 1 GhettoRadio

Yutman Amechargiwa Juu Ya Kutishia Ex Wake Adondoe Ball

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Kuna nguna mwenye ametishiwa na ex wake afanye abortion, anadai ameingiza njeve juu ya life yake after kupata messo za vitisho kutoka kwa huyo ex na jesh yake.

Brenda Charity Opiyo anadai hadi aliwai kidnapiwa na akatumiwa hizo messo na mastranger.

Alikuwa anadai  hio maneno akiwa kwa mbwenya Makadara penye ex wake, Kelvin Gikundi Mwenda, alikuwa amechargiwa juu ya kumtisha tisha.

Alichargiwa alongside mbogi yake.

Ali deny hizo charges mbele ya judgiko magistrate Heston Nyaga.

Brenda alichapiwa kwa kotiko ali summoniwa na mambanga wa Kasa after Mwenda aliskuma complaint against her

Mwenda alikubali yeye ndio alimshtaki.

Brenda naye anadai mambanga wa KASA  walikuwa wanadaisha hongo ndio wamuokolee, na ndio maana aliamua kuripoti hio riba stenje ya Buru

Ilibidi huyo judgiree amekata testimony ya huyo ngeus ndio iendelee kwa kamenje juu ni kama details ni sensitive, na hapo ndio aliseti terms za bond na siku kesi itaendelea

 

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More