Kenya's No 1 GhettoRadio

Yutman ameganda after kukwara kumkanja poko

0 978

Kuna yutman mtaa inaitwa Bombolulu coasto ako hosi Coast Provincial General after aliganda noma baada ya ku attackiwa na mapoko Sunday ngware.

Alikua ameenda kutoa kutu na mjamo wa hao mapoko lakini hakumkanja after kupona usiku yote.

Alikua ame book vector Bombolulu sato na kusakanya kuro size yake.

Sasa ngware alikwara kumkanja, na ndio huyo yengs akapeleka mbogi yake na mtaratara rada ni chafu.

Wanjivo Bernard Omollo anadai mbogi ilikua mtu das, walifika lodgo na kumganda huyo mjango.

Kuna hadi mwenye alimgonga na chupa ya barley kwa uso, na kutishia kumnyuria kama hata chota.

After waone dibla ina flow teke, hao mangeus waling’ada.

Inasemekana huyo mjango amezoea kupona nao na baaden kuwakausha maweng’.

Ni manjege wa stenje iko Nyali ndio walimuok na kumpeleka hosi

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More