Take a fresh look at your lifestyle.
Kenya’s Number One GhettoRadio

Yutman Amemanyuria After Kupona Kwa Lojo

0 639

Kuna yut mwenye ni 26 years alipatikana jana amebugda ndakas ya vector iko Mlolongo.

Kulingana na DCI, Clinton Wanakacha, ali book hio lojo akiwa na peng ting unidentified kabla ya kupatikana amegenya.

Baaden alipatikana ndethe amenyuria kwa bed Miathathia guest house.

- Advertisement -

Wenye huosha asapo walichapia manjege ati waliget kondiko mbexe zishatumika, lakini mdenge ako missing.

Masanse ati wamekwachu hizo CD zimetumika kama exhibits ziwahelp wajue kumbamba huyo nguna juu sasa yeye ndio prime suspect. Body ya mjango iko njifri city mocha.

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...