Kenya's No 1 GhettoRadio

Zimbabwe kuanza kundonyo medical Cannabis

Zimbambwe wame launch medical cannabis farm and processing plant yenye ina cost mita 27 USD na itakua ya fao Africa kuanza ku process nguai for medicinal purposes.

Orezo wao, Emerson Mnangagwa, alibanja kwa hio launch na alidai since 2018, washakanja makampu 57 licences za ku operate hio tire, lakini ni 15 pekee washaanza works.

The Swiss Biocieuticals medical cannabis farm and processing plant ndio genje na imekua set up Mount Hampden.

Ali challenge macampu zingine zenye ziliangukia hio mboka kuchangamkia medicinal cannabis sub-sector na kuweka enterprises zao, juu wanapanga kuadisa baroda kwa economy yao.

By 2021, ma countries zaidi ya kinde 10 walikua wamelegalise chuodho.

Hizo countries ni kama Canada, The Netherlands, Spain, Uruguay, South Africa, Jamdown, Costa Rica, Colombia, Belize Czech Republic.

Kulingana na the Havard health department, most common use ya medical marijuana mayolo ni hutumiwa kama pain control.

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...