Kuna morio amejinyuria after matha mzae kumliko mwenye alikua amemueka, alikwara  kumtingulia doe mtaa inaitwa Thuura iko Meru County.

David Mbijiwe alijihang manyu ya boma ya matha amemweka on Sunday magizgiz.

Ni kama huyo mama alikua amechoka na yeye na alidai wa break up.

Mbijiwe aliandika suicide note akimng’orea huyo matha, Mary Ntinyari, akidai hawezi ishi bila yeye, sasa heri abugde.

Mambanga wanadai wamekua wakistay kijamo miezi kadhaa sasa.

North Imenti Police boss Ezekiel Chepkwony ali confirm hio riba na ati waliget body ya morio ikiwa imehang kwa mti.

Waliipeleka Meru Level Five Teaching and Referral Hospital na investigations zishaanza.

January 25, 2023

Written by:

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X
  • http://node-04.zeno.fm/eghcv7h647zuv.aac?rj-ttl=5&rj-tok=AAABduHWWTYATEPfmLjdZktzzA
  • GhettoRadio 89.5FM
  • Radio