IN SUMMARY

  • CBC imekua na positive impact kwa watoi
  • Wazazi wanadai capacity building ku keep up na demands za cbc

Maparo wanabig up inspiration na creativity ya CBC after kutulia mtaa na watoi wao

Mimi ni buda wa waniaju watatu,  wawili wako oraima na mjamo ako form tatu ,nili nice kucheki watoi mitaani waki cheza zile ma game zilikuwa ziki tamba na generation za maparo na zime play role positive sana ku instill kulture na life skills mtaani.

READ ALSO: NCBA Golf Series Head to Kitale

Watoi wameanza kua na creativity ajab mtaani,CBC ilikam na rieng ya kuchambua talents za wajunior.

Kumekua lakini na noma na machallenges kadhaa zina zuia haki za watoi mtaani,

Watoi mtaani  pia wako na haki ya kubonga especially waki pitia stori za dhuluma mtaani.

Risto za  landgrabbing kwa magheto zinanyima watoi places wanaweza chezea.

Pia niki dekod kwenye live mtaani , watoi wengi wana mezea children rights zao na wako knowledgeable kwa stori za sexual reproductive education yani risto za ma adole na ma teeni wana jijua kiasi,wana na dai gava Icheze na ma talent centers na creative hubs za mtaani, ndio ziwainue githaa hawako chuo ama system.

Observation yangu ni ma paro pia wana need capacity building kwa CBC ndio waweze kuwa competent ku assist watoi wakiwa home.

By Edgar Ogutu

Written by:

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X
  • http://node-04.zeno.fm/eghcv7h647zuv.aac?rj-ttl=5&rj-tok=AAABduHWWTYATEPfmLjdZktzzA
  • GhettoRadio 89.5FM
  • Radio