.

Mambaru wa South Africa jana walidai wameanza investigation na msako ya hao maguangi after walichimba kando ya kaburi, wakavunja sanduku na kusanya maiti yote.

Maiti imesanywa ni ya mzae alibugda akiwa 83 years, na hio riba ilikua discovered this weekend kwa oburo (cemetery) ya mtaa inaitwa Limpopo.So far hakuna msee amebambwa.

Kulingana na police spokesman, Motlafela Mojapelo, ati design wanasanya, wanakata coffin manyu kwa miguu, alafu inavutwa carefully.

Family members ndio wali discover on Sunday wakienda kusafisha penye walipanda mzae wakiprepare kufanya post-burial headstone unveiling ceremony.

Mzae akipandwa kaburi ilizungushwa na bricks na simiti, alafu wakafunika na dimanga ya granite ya black hapo juu.

February 9, 2023

Written by:

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X
  • http://node-04.zeno.fm/eghcv7h647zuv.aac?rj-ttl=5&rj-tok=AAABduHWWTYATEPfmLjdZktzzA
  • GhettoRadio 89.5FM
  • Radio